Jifunze kila siku. Maji yaliyojaa kwenye ndoo hayawezi kukuaa kwenye kikombe yote. Uwezo wako wa sasa na ndoto zako na mafanikio unayoyataka ni tofauti.
Kwa kujifunza kila siku kunakuwezesha wewe ukuze uwezo wako wa kubeba vitu vikubwa.
Nadhani mlishasikia watu wanasema pesa za viwanja hazikai. Pesa za madini zina mashetani
Ukweli ni kwamba hakuna cha mashetani uwezo wako wa kubeba pesa ni mdogo huna nidhamu ya matumizi ya fedha. Hivyo utabakia vile vile hata ukipewa milioni mia leo zitabakia zile unazoweza kubeba.
Maji yaliyojaa ndoo yakiwekwa yote kwenye kikombe yatamwagika
Read more http://ow.ly/H6Wj302uAG6
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni