*SAYANSI YA KUSIMAMA NA KUSINYAA KWA UUME*
(Yaani Sayansi ya Nguvu za Kiume)
*UTANGULIZI*
Kwanza kabisa naamini kuwa wote hapa ni watu wazima na hivyo tutajifunza jambo hili kama watu wanaojielewa. Pili Lengo kubwa la mafunzo haya ya kila wakati ni kuwa na uhakika wa afya zetu sisi wenyewe na watu wa familia zetu pamoja na kupata ufahamu mkubwa ili kuweza kuwadadavulia wateja wetu pindi tutakapohitajika kufanya hivyo. Kwa hiyo ni vema kujifunza kwa umakini na kujitahidi kurudia rudia kusoma ili uweze kuelewa vizuri. Na siku nyingine wewe utawafundisha team yako. Kumbuka bila maarifa timu yako itakufa bila wewe kujua.
*SASA TUENDELEE....*
*I.* *SUALA LA UKOSEFU AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume DUNIANI.
*Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini basi?*
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni *ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu*
*KUSIMAMA KWA UUME (ERECTION)*
Kuna hatua mbili Muhimu katika Kusimama kwa UUME.
Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo:
1. Hatua ya KWANZA
Ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari.
2. Na hatua ya pili
Ni lazima, uume wake *uendelee kusimama* kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER ERECTION. Yaani ana nguvu kamili za kiume.
*II.* *JINSI HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA*
Jinsi hatua za kusimama kwa uume zinavyotokea
1. HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.
Mwanaume anapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya uume.
Taarifa inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya mishipa hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka na kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa kasi ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya huume kusimama.
Ni muhimu kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu na mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine za mwili.
N.B: Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume.
2. HATUA YA PILI :
DAMU KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU.
Uume ulio simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka katika mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo za mwili.
Mishipa ya Vena ndio inayo husika na kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kupeleka sehemu nyingine za mwili. Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena kushindwa ku nyonya damu kutoka kwenye uume.
Endapo mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu yote kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo ulio simama na utasinyaa mara moja.
[17/07/2016 18:43] Andrew: *III.* *JINSI UUME UNAVYO SIMAMA NA KUSISIMKA*
Tumeisha zifahamu hatua mbili muhimu katika kusimama kwa uume
Jinsi Uume unavyosimama: Katika uume kuna chemba yenye mishipa laini sana, ambayo ndio huufanya uume kusimama.
Mishipa hii ipo kama sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.
Damu inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu kama msumari (neno *msumari* ni mfano tu ili uelewe champion)
Damu inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa, huufanya uume uendelee kusimama.
Mwanaume anapopatwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo, ambao nao hufikisha taarifa kwenye mishipa ya uume.
Taarifa ikisha fika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya uume ku-relax na mishipa ya uume inapo relax, hufanya mambo makuu mawili;
i. Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka na hivyo damu kutiririka kwa kasi sana kuingia kwenye mishipa ya uume..
(Mishipa ya ateri ndio inayo tumika kama njia ya kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri imara na yenye afya, damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama )
ii. Pili huibana mishipa ya vena na hivyo kuizuia kunyonya damu kutoka kwenye uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Kumbuka ,kazi kubwa ya mishipa ya neva iliyo karibu na mishipa ya uume, ni kunyonya damu kutoka ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Kwa lugha nyingine, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume ulio simama.
Kadri damu inavyo zidi kuingia ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo zidi kuwa mgumu na kukakamaa.
Na kadri damu inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo endelea kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume inarudi katika hali yake ya kawaida (inanyauka ), ikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya damu katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume kurudi katika hali ya kawaida (flaccid).
Hali hii itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa ukiendelea kufanya tendo la ndoa.
Mambo Muhimu Katika Kuufanya Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
*Sasa basi.... Ili uume uweze kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama imara na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima mambo yafuatayo yawepo:*
1. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema.
2. Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima.
3. Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.
4. Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume.
Ili mwanaume aweze kuwa imara katika tendo la ndoa, ni lazima mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe sawa sawa bila hitilafu yoyote. Kinyume chake, mwanaume hawezi kuwa na nguvu za kiume.
[17/07/2016 23:01] Andrew: *IV.* *MAMBO YANAYO SABABISHA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.*
Tumeshajua nguvu za kiume ni nini, jinsi uume unavyo simama, hatua za kusimama kwa uume, pamoja na mambo yanayo fanya uume uweze kusimama na kuwa na uwezo wa kuendelea kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Ni vyema tukajua mambo yanayo sababisha kushindwa kusimama kwa uume, mambo yanayo sababisha uume ushindwe kuendelea kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa pamoja na mambo yanayo fanya mtu ashindwe kurudia tendo la ndoa.
Yafuatayo ni mambo yanayo sababisha ukosefu wa nguvu za kiume.
*1.* *MAGONJWA YANAYOSHAMBULIA MFUMO WA DAMU PAMOJA NA MAISHA YA DAMU.*
Damu ndio nishati inayo wezesha kusimama kwa uume na kuufanya kuwa mgumu na imara kama msumari.
Damu ndio nishati inayo weza kuufanya uume uendelee kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Damu ndio nishati inayo upa uume uimara na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja.
Hivyo basi ili uume uweze kuwa imara na wenye nguvu, pamoja na kuwa na uwezo wa kumudu na kustahimili tendo la ndoa wakati wowote , basi ni lazima mwanaume awe na mfumo imara wa damu utakao ruhusu kutiririka kwa damu kwenda katika sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo uume.
Ili mfumo uweze kuwa imara ni lazima mhusika awe na damu ya kutosha, na pili awe na mishipa ya damu yenye afya.
Katika mwili wa mwanadamu,kuna mishipa inayo tumika kusafirisha damu kutoka katika sehemu moja ya mwili kwenda katika sehemu nyingine ya mwili ikiwemo uume. Mishipa hiyo ni kama vile vena (veins), atery ( ateri) na capillary ( kapilari )
Mishipa hii ya damu inapaswa kuwa imara na yenye afya njema wakati wote. Mishipa hii ikipatwa na hitilifu, basi itazuia kusafirishwa kwa damu katika sehemu mbalimbali za mwili wa mwanadamu na hatimaye kufanya suala la kuwa na nguvu za kiume kwa mhusika kuwa ugumu kwa sababu ya kushindwa kupeleka damu kwenye mishipa ya uume.
Magonjwa kwenye mishipa ya damu huzuia kutirika kwa damu kwenye ogani muhimu kama vile moyo, ubongo na figo.
*VIASHIRIA VYA MAGONJWA KWENYE MISHIPA YA DAMU.*
Utajuaje kwamba una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu ?
Ukiwa una matatizo yafuatayo ya kiafya, ni ishara kwamba, una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu:
1. Kolestrol ( Ama lehemu kwenye damu )
Kolestrol nyingi kwenye damu, huzuia kutiririka kwa damu. Kolestrol ikizidi kwenye damu, hupelekea kuziba mishipa ya ateri ambayo kazi yake ni kupeleka damu kwenye uume.
Matokeo yake ni mhusika kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara kwa sababu uume hauwezi kusimama bila damu kuingia ndani ya mishipa ya uume.
Hivyo basi pamoja na kutumia bidhaa za nguvu za kiume, yakupasa kutibu kolestrol. Unaweza kuondoa kolestrol kwenye damu kwa kutumia bidhaa zetu za kuondoa kolestrol. Jinsi ya kutatua shida ya kolestrol kwa kutumia bidhaa zetu kama Arctic Sea na Argi Plus nk.
2. Shinikizo Kubwa la Damu
Shinikizo Kuu la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo hutiririsha damu iingiayo kwenye uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa kiwango inachotakiwa kutanuka.
Pia huifanya mishipa laini katika uume kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya mwilini.
Matokeo yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha damu iingiayo kwenye uume na hivyo kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile vile hata kiasi kidogo cha damu kinacho ingia kwenye uume, kinashindwa kuendelea kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume ukiwa umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa ndani ya kipindi kifupi sana tangu usimame.
Pamoja na kutumia bidhaa za nguvu za kiume, atapaswa pia kutumia bidhaa za kumsaidia mtu mwenye tatizo la shinikizo kuu la damu.
Kuna bidhaa za kusaidia mtu mwenye shinikizo kuu la damu ama pressure ya kupanda kama wengi wanavyoita.
3. Ugonjwa wa kisukari :
Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Kusimama kwa uume kunategemeana na kutiririka kwa damu mwilini. Kisukari huathiri mishipa ya damu pamoja na usambazaji wa damu kwenye ogani muhimu mwilini kama vile moyo, ubongo, figo na uume.
Kiukweli, mwanaume mwenye kisukari yupo katika risk kubwa ya kupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume,m tena katika kiwango kikubwa sana.
Anashauriwa pamoja na kutumia bidhaa za nguvu za kiume, atumie pamoja na bidhaa mbalimbali kwa ajili ya kubalance sukari yako mwilini. Kuna products za kumsaidia mtu wa kisukari. Kama huzijui uliza kwa upliner wako.
4. Magonjwa ya figo
Tatizo la ugonjwa wa figo huathiri vitu vingi ambavyo ni muhimu sana katika kuufanya uume uweze kusimama na kuendelea kudumu katika kusimama.
Tatizo la figo, huathiri homoni, huathiri kutiririka kwa damu kwenda kwenye mishipa ya uume. Huathiri mfumo wa mishipa ya neva pamoja na nishati ya mwili mzima.
Pamoja na dawa ya kutibu tatizo la nguvu za kiume, unapaswa pia, kutibu tatizo la figo.
Kuna bidhaa za kuimarisha figo.
5. Ugonjwa wa moyo
Moyo ndio supplier mkubwa wa damu katika sehemu mbalimbali za mwili. Ugonjwa wa moyo hupunguza uwezo wa moyo kusambaza damu kwenye mishipa mbalimbali ya damu na hivyo kuathiri utendaji kazi wa mishipa ya damu kama vile ateri na vena.
Matokeo yake ni mishipa hiyo kushindwa kupeleka damu ya kutosha katika uume pamoja na kushindwa kuifanya mishipa ya uume kurelax na matokeo yake,. Ukosefu wa nguvu za kiume.
Hivyo basi, pamoja na products za nguvu za kiume, unapaswa pia kutibu tatizo la moyo. Kufahamu jinsi unavyo weza kusaidia mtu wa ugonjwa wa moyo kuna bidhaa zake.
6. Kupwaya kwa mishipa ya vena.
Kazi kubwa ya mishipa ya vena kwenye uume kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili.
Mishipa ya vena iliyopo karibu na uume kazi yake kubwa ni kuhakikisha hakuna damu yoyote kwenye mishipa ya uume. ( KUMBUKA KUWA DAMU NDIO HUFANYA UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE KILE KITAKACHO FANYA DAMU ISIKAE NDANI YA MISHIPA YA UUME , KITAFANYA UUME USINYAE )
Ili uume uendelee kusimama ni lazima, mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume kupeleka nje ya mishipa ya uume.
Na ili mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio simama na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili, ni lazima mishipa ya uume iwe imara na thabiti isiyo na hitilafu yoyote ile.
Mishipa ya vena ikipwaya, mwanaume hutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wako, na ikitokea umefanikiwa kuusimamisha basi utasimama ukiwa legelege sana na utasinyaa ndani ya muda mfupi sana, kwa sababu damu iliyo ingia ndani ya uume wako na kuufanya usimame, itanyonywa ndani ya muda mfupi sana na kutolewa nje ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume wako usimame.
Tatizo la kupwaya kwa mishipa ya vena linasababishwa na kupiga punyeto kwa muda mrefu pamoja na ugonjwa wa kisukari.
Kupiga Punyeto kwa Muda Mrefu: Kupiga punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, linasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu.
*Jinsi Punyeto inavyosababisha Ukosefu wa Nguvu za Kiume*
Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame.
Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama tena.
Mishipa ya uume iliyo legea kutokana na upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo :
i. Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kurelax.
( Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume ina relax , mishipa iki relax husababisha mishipa ya ateri kupanuka na kuruhusu damu kingie ndani ya mishipa ya uume na hatimaye kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)
ii.Mishipa ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa ya ateri kuziba
iii.Mishipa ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia kwenye mishipa ya uume, na hata ikitokea damu imeingia ndani ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi utasimama ukiwa legelege sana.
iv. Mishipa ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa na uwezo wa kuipush na kuiziba mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio simama.
Matokeo yake basi, damu kidogo iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume na kuufanya uume kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani ya sekunde chache sana na hivyo kuufanya uume usinyae ndani ya muda mfupi sana.
v. Mishipa ya uume kulegea
vi. Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama uume wa mtoto
6. Tatizo la unene kupita kiasi :
Tatizo la unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa mambo yanayo sababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Unene kupita kiasi humuweka mtu katika hatari ya kupatwa na magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo na shinikizo kuu la damu.
Na magonjwa ya kisukari, moyo,presha na shinikizo la damu husababisha upungufu na ukosefu wa nguvu za kiume, na hivyo kumuweka muhusika katika hatari kuu ya kupatwa na tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Hivyo basi kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi , pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume, ni vyema ukafanya na mpango wa kupunguza unene na uzito wako.
(Jinsi ya kupunguza Uzito tuna bidhaa za kupunguza uzito kama C9 na FIT 1&2)
7. Matatizo Katika mfumo wa Ubongo
Uume hauwezi kusimama bila ya kuwa na ushirikiano na ubongo. Ili mtu uume uweze kusimama, mtu lazima apate wazo la kufanya tendo la ndoa (UBONGO UNA HUSIKA HAPO ), akishapata wazo, ubungo hupeleka ishara kwenye mishipa ya fahamu iliyopo katika uti wa mgongo ambayo nayo hupeleka taarifa kwenye mishipa ya uume then uume usimama.
Hivyo basi ili mtu aweze kuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake ni lazima kuwa na mawasiliano mazuri na imara kati ya mishipa ya fahamu ( ubongo ), mishipa ya kwenye uti wa mgongo na mishipa ya kwenye uume. Bila ushirikiano kati ya vitu hivyo vitatu, uume hauwezi kusimama.
Magonjwa yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya mishipa ya ubongo na mishipa ya uume, yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa uume.
Magonjwa hayo ni pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu ( Alzheimer ), multiple sclerosis pamoja na ugonjwa wa Parkinson.
Ni vyema mgonjwa akatibiwa kwanza magonjwa hayo kabla ya kuanza kutumia dawa ya nguvu za kiume. Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa tajwa hapo juu kwa njia asilia,tafadhali tembelea
Mambo mengine yanayo sababisha ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni pamoja na maumivu & majeraha kwenye uti wa mgongo, chango la kiume , ngiri na matatizo katika homoni.
[17/07/2016 23:05] Andrew: *V.* *MTU MWENYE SHIDA YA NGUVU ZA KIUME ATAJUAJE? AU WEWE UTAJUAJE NI I CA KUMUULIZA MTEJA WAKOMA ILI KUJUA KAMA ANA SHIDA HIYO? SI LAZIMA UMUULIZE ILA UNAWEZA KUMUELEZEA TU AKAJIKUTA YEYE MWENYEWE ANAKWAMBIA*
Zingatia usiri mkubwa mno. Licha ya kwamba sisi siyo madaktari lakini ni vema kutunza siri za mteja wako hasa kwenye changamoto za aina hii.
Tuendelee...
*Mtu Mwenye Shida ya Nguvu Za Kiume Atajuaje?*
Vifuatavyo ni viashiria vya mtu mwenye tatizo la Ukosefu/Upungufu wa Nguvu za Kiume.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo:
1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
2. Uume kusimama ukiwa legelege
3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake . japo katika hali ya u lege lege
5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.
*Mwanaume Asiye na tatizo la Nguvu Za Kiume Anakuwaje?*
Viashiria vya mwanaume asiye na tatizo la Ukosefu wa nguvu za kiume
Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo:
i. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.
ii.Hukaa kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )
iii. Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.
iv. Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile.
v. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile.
vi. Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.
HIVYO,zifuatazo ni bidhaa zetu ambazo zinaweza kumsaidia mtu mwenye tatizo hilo,ikumbukwe bidhaa hizi sio dawa bali ni chakula cha nyongeza(supplements )
Tuwasiliane 0673214813…………whatsApp
josinah.jl@gmail.com
Kwa miaka mingi, nilipambana kimyakimya ukosefu wa usalama kwa sababu ya ukubwa wangu. Iliniondolea kujiamini, kudhoofisha uhusiano wangu, na kuniacha nikijihisi si mwanaume. Kisha nikakutana na Dk. Dawn - zawadi ya kweli kutoka kwa ulimwengu. Kwa uwezo wake wa ajabu wa kiroho, mabadiliko yangu yalikuwa zaidi ya kile nilichoamini kuwa kingeweza kutokea. Leo, ninajivunia, ninajiamini, na nimeridhika kabisa. Dk. Dawn hakubadilisha ukubwa wangu tu - alirudisha heshima yangu na kunipa maisha mapya ya furaha
JibuFutaJisikie huru kuwasiliana naye kwa usaidizi,
Ukitaka kukuza uanaume wako,
*Kama unataka kutibu figo/moyo/maambukizi yako.
*Kama unataka kupata mimba au kutibu ugumba.
*Ukitaka kumrudisha mpenzi wako, mume/mkeo.
*Ukitaka kumvutia mtu katika maisha yako. Mpya / Mpenzi wa zamani.
*Ikiwa unataka kushinda kesi za bahati nasibu/ Curt, au kupata pesa au mali zako.
Yake, barua pepe dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp yake: +2349046229159
Ushuhuda
JibuFutaNilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.
Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:
✅ Maneno ya mapenzi
✅ Tahadhari za Ujauzito
✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.
📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159
Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!